NYUMBA INAUZWA.
-ukubwa wa eneo ni mita za mraba 800
-Ina vyumba vya kulala(Vyote ni self contained)
-Master Bedroon 1
-Seating Room
-Kitchen
-Chumba cha nje kwa ajili ya Mlinzi
-Fensi ya umeme
-Garden
-Egesho la magari kubwa
-Maji
-Nyumba hii ina Hatimiliki